Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Afungua Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Kizimkazi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Japan nchini mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya ufunguzi wa ukumbi wa skuli ya sekondari ya Kizimkazi, wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini, Unguja Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Japan wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa ukumbi wa skuli ya sekondari ya Kizimkazi, wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini, Unguja Zanzibar.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Kizimkazi wakati wa hafla ya  ufunguzi wa ukumbi wa skuli ya sekondari ya Kizimkazi ambao umefadhiliwa na ubalozi wa Japan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuelezea  Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida namna Pomboo wanavyovutia utalii katika mkoa wa kusini wakati akimkabidhi zawadi ya sanamu ya Pomboo mara baada ya ufunguzi wa Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.