Habari za Punde

Matukio Mitaani Zenj.

Mjasiriamali wa Kilimo cha mbogamboga Zanzibar akiwa na bidhaa akipeleka sokoni kwa ajili ya wateja wake wa bidhaa hizo. 

Kilimo cha matunda na mbogamboga ni mkombozi wa wananchi wengi visiwani Unguja na Pemba. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.