Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akimkabidhi funguo ya Pikipiki Kiongozi wa Kundi la Ngoma la Kannengwa Rungwe, Nolbert Mwandinga, baada ya kundi lake kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la Ingoma Kituli, wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka kila kundi walizawadiwa Pikipiki. Picha na Muhidin Sufiani
MAADHIMISHO YA SIKU YA HABARI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
-
Mgeni Rasmi Mkufunzi na Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim
akitoa hotuba ya Ufunguzi katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa
Habari ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment