Habari za Punde

Send Off ya Mke Mtarajiwa wa Cuthbert Midala,Dada Catherine Iliofanyika Jijini Dar es Salaam Jana.

SEND OFF YA MKE MTARAJIWA WA CUTHBERT MIDALA, DADA CATHERINE ILIVYOFANA DAR ES SALAAM, JANA
Mke Mtarajiwa wa Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthert Midala, Bi Catherine Nyamoni akiwa mwenye tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake, iliyofanyika jana jioni, katika ukumbi mwanana wa Danken House, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Zifuatazo ni picha zaidi ya 200 zikisawiri tukio lote mwanzo hadi mwisho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.