Habari za Punde

Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba.

Msema chochote (MC)Makame Abdalla akitoa neno la shukurani kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mh, Chumu Kombo Khamis wapili kuli katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kwambani wakiimba Wimbo wa Udhalilishaji mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mh, Chumu Kombo Khamis (hayupo pichani)katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba
Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mh, Chumu Kombo Khamis akiweka Fedha ikiwa ni ishara ya kuwatunza Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kwambani walipokuwa wakiimba Wimbo wa Udhalilishaji )katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja Wakiimba na kucheza Ngoma ya Chaso katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.