Habari za Punde

Balozi Seif Afungua Mkutano wa Uchaguzi wa CCM Wilaya ya Wete Pemba.

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi,ambae pia ni Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd,akifunguwa mkutano  mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Pemba,kufuatia chaguzi za Chama hicho zinazoendelea nchini kote.
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa, Mkuu wa mkoa wa Kasakzini Pemba, Omar Khamis Othaman, na Mkuu wa Wilaya ya Wete , Abeid Juma Ali, wakifuatilia hotuba ya makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Seif Ali Iddi, wakati akifunguwa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete-Pemba.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Pemba, wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Balozi Seif Ali Iddi , akitowa nasaha zake wakati akifunguwa mkutano huo huko katika ukumbi wa Jmhuri Hall Wete Kisiwani humo.

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Pemba, wakimsikiliza Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar , Balozi Seif Ali Iddi , akitowa nasaha zake wakati akifunguwa mkutano huo huko
katika ukumbi wa Jmhuri Hall Wete Kisiwani humo.Picha na Jamila Abdallah -Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.