Habari za Punde

Tamasha la Kuingia Mwaka Mpya wa Kichina


Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Chande Omar akizungumza wakati wa hafla ya kusherehekea kuingia kwa Mwaka Mpya wa Kichina yalioadhimishwa na Raia wa China walioko Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Marumaru hurumzi Zanzibar.

Kiongozi wa Team ya Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma katika hospitali ya Mnazi Mmoja Dr. Wang Heo akizungumza wakati wa sherehe hiyo ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kichina hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Marumaru hurumzi Zanzibar.
Mshauri wa Utamaduni Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar Gao Wei, akizungumzia siku hiyo ya kuukaribisha mwaka mpya wa kichina  
Mkuu wa Masomo ya Kichina katika Chuo cha Habari Zanzibar Li Gung akizungumza wakati wa hafla hiyo na kuelezea utamaduni wa Chini jinsi ya kuadhimisha mwaka mpya wa kichana.
Wanafunzi kutoka Chuo cha Habari Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.