Habari za Punde

Chama cha ACT Wazalendo chafanya mkutano na waandishi wa habari juu ya utafiti kuhusu uchumaji wa karafuu Pemba

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Hamad Yussuf akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Utafiti walioufanya wa hali ya uchumaji wa Karafuu Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Jumba la Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Chama cha ACT-Wazalendo kuhusiana na Utafiti walioufanya wa hali ya uchumaji wa Karafuu Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Jumba la Sanaa Rahaleo mjini Unguja.

Mwandishi wa Habari wa Star Tv Abdalla Pandu akiuliza maswali katika mkutano wa Chama cha ACT-Wazalendo kuhusiana na Utafiti walioufanya wa hali ya uchumaji wa Karafuu Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Jumba la Sanaa Rahaleo mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.