Habari za Punde

Kikao Cha Baraza Kuu la UWT Taifa Kufanyika Mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa muda wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, Diana Chilolo, akizungumza wakati wa kikao hicho kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.  Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na kulia ni Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi
Wajumbe wakishangilia wakati wa kikao wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati ni Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma akisalimia alipotambulishwa katika kikaocha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma,
Maofisa wa UWT wakiandaa makabrasha kabla ya kuanza kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.