Habari za Punde

Miswada mitatu ya sheria za ndoa na talaka, asasi za kiraia na ile ya ofisi ya Mufti yafikishwa kwa wananchi kujadiliwa

 MWANASHERIA kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Nassor Ahmed Tajo, akijibu hoja za wananchi wa wilaya ya Mkoani, kwenye mkutano uliofanyika ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo, uliohusu kuwasilishwa kwa miswada mitatu ya sheria za ndoa na talaka, asasi za kiraia na ile ya ofisi ya Mufti, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 WANANCHI, viongozi wa dini na wengine kutoka ndani ya jamii ya Wilaya ya Mkoani, wakifuatilia uwasilishwaji wa miswada mitatu ya sheria za asasi za kiraia, ndoa na talaka pamoja na ya Mufti, wakati Tume ya Kurekebisha sheria ilipowasili wilayani humo, kwa ajili ya kukusanya maoni, mkutano huo ulifanyika ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MWANASHERIA kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Khamis Mwita, akiwasilisha mswada wa sheria asasi za kirai, kwa wananchi wa wilaya ya Mkoani, kwenye mkutano uliofanyika ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo, uliohusu kuwasilishwa kwa miswada mitatu ya sheria za ndoa na talaka, asasi ya kiraia na ile ya ofisi ya Mufti, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MJUMBE wa Jumuia ya Maimamu Zanzibar JUMAZA wilaya ya Mkoani Pemba, Adulla Hamad Khamis, akitoa maoni yake juu ya mswada wa sheria ya ndoa na talaka, mbele ya wajumbe wa Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar, waliofika wilayani humo, na kufanya mkutano kwenye ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mkoani, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.