Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Chakechake


 Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Chake Chake Pemba, Moh'd Aboud Moh'd, akiwa na baadhi ya Wajumbe wenzake katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Pemba.
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM , Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakiwa katika mkutano huo huko katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji.

Muasisi wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, Sukwa Said Sukwa, akifunguwa mkutano mkuu wa Chama hicho Wilaya ya Chake Chake uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro ,Vitongoji Pemba.


PICHA NA JAMILA ABDALLA.---MAELEZO PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.