Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Ajumuika katika Hafla ya Chakula cha Usiku na Ujumbe wa Serikali ya Oman.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar jana wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati  hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika janaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati  hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana,wengine (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi

Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi (wa pili kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) walipokuwa wakichukua chakula katika hafla maalum iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,iliyoandaliwa  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)alipokuwa akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula alichokiandaa jana kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipkuwa akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula cha jioni kilichokiandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 16 /10/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.