Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero  leo  alipofika Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akifuatana  na mgeni wake  Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.