VIJANA kutoka Mkoa wa kusini Pemba, wakiwa
nje ya uwanja wa ndege Kisiwani Pemba, wakisubiri kuupokea Mwenge wa Uhuru ukitokea Mkoani Tanga wakishangilia kwa nderemo na vifijo kabla ya kuwasili kwa
mwenge wa uhuru kisiwani Pemba, ukitokea Mkoani Tanga,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment