Habari za Punde

Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilishaji wa Watoto na Wanawake.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee , Vijana Wanawake na Watoto Pemba Khadija Khamis Rajab, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mafunzo ya kuripoti habari za udhalilisha na ukatili kwa Watoto na Wanawake uliofanyika kisiwani Pemba na kuwashirikisha waandishi wa vyombo mbalimbali kisiwani Pemba 

watoto huko Kisiwani Pemba.


Ofisa kutoka Shirika la Kimataifa la UNICEF Zanzibar, Ahmed Rashid Ali, akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari Kisiwani Pemba juu ya takwimu za Udhalilishaji na ukatili wa Watoto Zanzibar , huko katika

ukumbi wa Samael Pemba

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali, wakimsikiliza Ofisa Mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji , Wazee, Vijana , wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab, akifunguwa mafunzo ya kuripoti habari za kakati wa kitaifa wa kupinga ukatili na udhalilishaji huko katika ukumbi wa Samael Pemba
Wadau mbali mbali wakiwemo Wafanyakazi wa  Wizara ya Kazi, Uwezeshaji , Wazee na Vijana Pemba wakifuatilia  hatuba ya Ofisa mdhamini wa Wizara hiyo , wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya mkakati wa wa kupina

ukatili na udhalilishaji wa Watoto huko katika ukumbi wa Samael Pemba.


Wadau mbali mbali wakiwemo Wafanyakazi wa  Wizara ya Kazi, Uwezeshaji , Wazee na Vijana Pemba wakifuatilia  hatuba ya Ofisa mdhamini wa Wizara hiyo , wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya mkakati wa wa kupina

ukatili na udhalilishaji wa Watoto huko katika ukumbi wa Samael Pemba.(Picha na Bakari Mussa - Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.