Habari za Punde

Wanaoongoza kwa magoli ligi Kuu Zanzibar kanda ya Unguja


Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Mzunguko wa tatu wa Ligi kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja inatarajia kuanza Jumamosi ya Oktoba 21 saa 8:00 za mchana katika uwanja wa Amaan kati ya Mafunzo na Taifa ya Jang’ombe na saa 10:00 za jioni kati ya JKU na Miembeni City.

Mpaka sasa jumla ya mabao 31 yamefungwa katika ligi hiyo huku washambuliaji Salum Songoro wa KVZ na Nassor Ali wa Kipanga ndio wanaongoza katika safu ya ufungaji ambapo  wameshafunga jumla ya mabao 3 kila mmoja.

1.  Salum Songoro (KVZ) mabao 3
2.  Nassor Ali (Kipanga) mabao 3
3.  Ali Haji Said “Zege” (JKU) mabao 2
4.  Mudrik Muhibu (KMKM) mabao 2
5.  Salum Akida (KMKM) mabao 2
6.  Shomari Waziri (JKU) bao 1
7.  Nassor Matar (JKU) bao 1
8.  Khamis Mussa “Rais” (J Boys) bao 1
9.  Talib Hamad (Kipanga) bao 1
10.                   Daud Nyerere (Kipanga) bao 1
11.                   Hafidh Juma Haji (Chuoni) bao 1
12.                   Hamad Mshamata (Chuoni) bao 1
13.                   Charles Chinonso (Chuoni) bao 1
14.                   Ali Othman (Mafunzo) bao 1
15.                   Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto) bao 1
16.                   Nyange Othman Denge (Zimamoto) bao 1
17.                   Idrissa Simai (Zimamoto) bao 1
18.                   Abdallah Omar (Polisi) bao 1
19.                   Rafael Mwambeleko (KVZ) bao 1
20.                   Sultan Juma Kaskas (KVZ) bao 1
21.                   Bakar Bakar Mashango (Kilimani City) bao 1
22.                    Joseph Josephat Kalinga (Kilimani City) bao 1
23.                    Abdillah Seif Bausi (Kilimani City) bao 1
24.                   Abas Peter John (Black Sailors) bao 1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.