Sajini
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji toka Makao Makuu, Damian Muheya (Kulia), akiwaelimisha
wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro jinsi vizimia moto vya awali (Fire Extinguisher)
vinavyotumika pindi moto unapotokea, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa
Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa
yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya
Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI,
TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Wananchi
wa Mjini Kilimanjaro wakiwa katika banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
wakipata elimu juu ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwenye vyombo
vya Usafiri na Usafirishaji, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya
tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.
Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Wananchi
wa Mjini Kilimanjaro wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa Konstebo wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji, Kitengo cha Maokozi Saidi Seng’endo (Kushoto)
walipotembelea banda hilo, wakati wa
Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo
katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe
16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Sehemu ya mabanda ya washiriki mbalimbali wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea
Mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu
tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.
Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Watoto
wakimsikiliza Konstebo Saidi Seng’endo juu ya matumizi ya kifaa kinachohifadhi
hewa safi (Breathing Apparatus) kwa ajili ya kumsaidizi Askari wa Zimamoto
kwenye matukio mbalimbali
Konstebo wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Kitengo cha Maokozi toka Makao Makuu, Saidi Seng’endo (Kushoto),
akiwa na Konstebo wa Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa
Kilimanjaro, Simba Mikidadi (Kulia), wakiwaonesha wananchi wa Mkoa wa
Kilimanjaro jinsi baadhi ya vifaa vya gari maalum la maokozi (Fire Rescue Tender) vinavyotumika pindi
ajali inapotokea barabarani, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya
tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.
Samia Suluhu, tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”. (Picha
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
No comments:
Post a Comment