Habari za Punde

Bandari ya Zanzibar Hutowa Huduma za Upakizi na Ushushaji wa Mizigo wa Meli za Ukubwa Tafauti.

Meli ya mizigi ikiwa imefunga gati katika bandari ya Malindi Zanzibar ikishusha na kupakia makontena kama inavyoonekana pichani ikiwa katika bandari hiyo ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.