Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya Taifa ya Jangombe na Timu ya Chuoni Timu hizo Zimetoka Sare ya Bao 1--1.Mchezo Uliofanyika Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 
Mashabiki wa Timu ya Chuoni wakishangilia Timu yao wakati  ikicheza na Timu ya Taifa ya Jangombe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka Sare ya Bao 1--1.
Beki wa Timu ya Chuoni akiokoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe akiwa tayari kuuchukua mpira huo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mchezo ulifanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare.
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe akimuliki mpira huku mchezaji wa timu ya Chuoni akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Jangombe wakifuatilia mchezo wa timu yao katika uwanja wa Amaan Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.