Habari za Punde

Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya Stone Town na Mwembetanga Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Stone Town Imeshinda Kwa Vikapu 131 --38.

Kikosi cha Mpira wa Kikapu cha Muembetanga Kikichokubali kipigi cha Vikapou 131 - 38 katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Kikapu Kanda ya Unguja michezo inayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana, kutafuta Bingwa wa Mchezo huo kushiriki Ligi Kuu ya Muungano Mpira wa Kikapu Tanzania. 
Mchezaji wa Timu ya Muembetanga akijaribi kuziiya mpira ukielekea katika wavu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Stone Town imeshinda kwa Vikapu 131 0 38.
Mchezaji wa Timu ya Stone Town Saidi Marini akijiandaa kumpita mchezajhi wa Timu ya Muembetanga wakati wa mchezo huo uliofanyika uwanja wa Gymkhana Timu ya Stone Town imeshinda kwa Vikapu 131 - 38. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.