Habari za Punde

Mfanyabiashara Kutoka Nchini Isreal Aipiga Tafu Timu ya Zanzibar Heroes Kwa Kutoa Fedha Kwa Ajili ya Ununuzi wa Vifaa Kwa Timu Hiyo.

Mfanyabiashara kutoa Nchini Isreal Lior Shabat akimkabidhi fedha Nahodha wa Timu ya Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe dola 600 kwa ajili ya wacheza wa Timu hiyo bbada ya kuwaahidi kila mchezaji atampa shilingi 50,000/ wakishinda mchezo huo wa kirafiki na Timu ya Villa United mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa ushindi wa bao 5 - 2. na kukabidhi fedha dola 25,000/= kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya michezo kwa timu hiyo kuweza kujiandaa vizuri na michuano ya Kombe la Chalenji Nchini Kenya mwezi ujao 2017.
Akikabidhi fedha hizo za wachezaji baada ya mchezo wao kumalizika na kuibuka mshindi akishuhudia Katibu wa ZFA Mohammed Ali Hilal (Kocha Tedy) 
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe akionesha fedha hizo kwa waandishi wa habari baada ya kukabidhi na mfadhili huyo. kushoto Lior Shabat  
Mfanyabiashara kutoa Nchini Isreal Lior Shabat akimkabidhi fedha Nahodha wa Timu ya Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe dola 600 kwa ajili ya wacheza wa Timu hiyo bbada ya kuwaahidi kila mchezaji atampa shilingi 50,000/ wakishinda mchezo huo wa kirafiki na Timu ya Villa United mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa ushindi wa bao 5 - 2. na kukabidhi fedha dola 25,000/= kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya michezo kwa timu hiyo kuweza kujiandaa vizuri na michuano ya Kombe la Chalenji Nchini Kenya mwezi ujao 2017.
Akikabidhi fedha hizo za wachezaji baada ya mchezo wao kumalizika na kuibuka mshindi akishuhudia Katibu wa ZFA Mohammed Ali Hilal (Kocha Tedy) 
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco akimkabidhi jezi Mfadhi wa Timu hiyo kutoka Nchini Isreal Lior Shabat kwa mchango wake kwa Timu yake na kulia kipa wa Timu hiyo Ahmeid Ali Salula makabidhiano hayo yamefanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya mchezo wa kirafiki na Timu ya Villa United na kuibika na ushindi wa bao 5 - 2.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.