Habari za Punde

Ligi ya Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya New West ma Rangers Uwanja wa Gymkhana Timu ya Rangers Imeshinda Kwa Vikapu 70- 50.

 MCHEZAJI wa Timu ya New West Yassir Abuu akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Rangers Zakaria Wable wakati wa mchezo wa mpira wa Kikapu Ligi Kuu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana Timu ya Rangers imeshinda kwa Vikapu 70- 50
MCHEZAJI wa Timu ya New West Yassir Abuu akimpita mchezaji wa Timu ya Rangers Awesu Yunus wakati wa mchezo wa Kikapu Kigi Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya Rangers imeshinda kwa vikapu 70 - 50
MCHEZAJI wa Timu ya New West Yassir Abuu akimpita mchezaji wa Timu ya Rangers Awesu Yunus wakati wa mchezo wa Kikapu Kigi Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya Rangers imeshinda kwa vikapu 70 - 50No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.