Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Azindua Upimaji wa Afya Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizindua upimaji wa Afya kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar akiwa na Mtoto Yussuf Abdalla mwenye umri wa miezi 4 akifanyiwa uchunguzi wa afya yake na Daktari Qin Qin , uzinduzi huo umefanyika katika makazi yao mazizini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Mtoto Yussuf Abdallah baada ya kuzindua upimaji wa Afya kwa Watoto Yatima wa Mazizini Zanzibar, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na kulia Daktari Bingwa wa Watoto kutoka China Dr. Qin Qin

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.