Habari za Punde

Profesa Rai mgeni rasmi wakati wa kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA)

 Ndugu , Rashid Ali Salim, akiwafahamisha Wananchi wa Mkoani kuhusu Jumuiya ya Maendeleo ya watu wa Mkoani katika hafla iliofanyika Skuli ya Sekondari Uweleni.
 Miongoni mwa Waanzilishi wa Jumuiya hiyo , Abdalla Abass Omar, akielezea azma na malengo  ya kuanzishwa kwa Jumuiya hiyo ya Maendeleo ya Mkaoni (MDA) kwa Wananchi wa Mkoani waliohudhuria hafla hiyo.
 Baadhi ya Wananchi wa Mkoani Pemba, wakimsikiliza , Profesa , Idrisa Ahmada Rai, akieleza machache juu ya kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA) kwa Wananchi wa mkoani.
 Profesa Idrisa Ahmada Rai, akizungumza na Wananchi wa Mkoani katika hafla ya kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA), hafla iliofanyika katika Skuli ya Uweleni Mkoani Pemba.
Profesa Idrisa Ahmada Rai, akizungumza na Wananchi wa Mkoani katika hafla ya kuitambulisha Jumuiya ya maendeleo ya Mkoani (MDA), hafla iliofanyika katika Skuli ya Uweleni Mkoani Pemba.

PICHA NA HABIBA ZARALI-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.