Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.

 
Naibu Waziri Mhe.Shamata Shaame Khamis (kulia) akiwa na Wakuu wa Mikoa  katika   wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara  ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  katika  kikao cha siku moja cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja 
Katibu Mkuu wa Wizara  ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  Nd,Radhia Rashid Haroub (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja  cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa     kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
Naibu Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  Nd,Kai Bashir Mbarouk (kulia) alipokuwa akitoa ufafanuzi katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,   cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa  kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara  ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  Nd,Radhia Rashid Haroub (katikati)
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara  ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  katika  kikao cha siku moja cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,
Baadhi ya Wakurugenzi mbali mbali na Maafisa katika  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa wakiwa katika kikao cha siku moja  cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katikWizara  ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]  02/11 /2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.