Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mabalozi wa Tanzania Nchini Misri na Zambia Waliofika Kumuaga Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Balozi Abrahaman Kaniki, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na kuaga. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wanaoiwakisha Tanzania katika Nchini za Zambia na Misri,walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga kwa ajili kujiandaa kuelekea katika vituo vyao vya kazi kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Balozi Abrahaman Kaniki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Misri Balozi Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Zanzibar.27-11-2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.