Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Akutana na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Chini Tanzania Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Mhe Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais akiongozana na Balozi Mdogo wa China anayefanyika kazi Zanzibar Mhe Xie Xiuowu  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Chini Tanzania Mhe. Wang Ke alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar Dk Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Chini Tanzania Mhe. Wang Ke alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar Dk Shein. akiongozana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe Xie Xiuowu na Maofisa wa Ubalozi wa China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Tanzania Mhe Wang Ke, baada ya kumaliza mazungumzo na Rais wa Zanzibar Ikulu Zanzibar, 27-11-2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.