Habari za Punde

TAKUKURU na ZAECA Watowa Elimu ya Rushwa Kwa Wafanyakazi wa Zantel na Watoa Huduma wa Zantel Zanzibar.


Mshika Fedha wa Zantel Jean Paul Happart akifungua mafunzo ya Siku moja ya Uhamasishaji na Kuzuiya Rushwa kwa Wafanyakazi wa Zantel na Watowa huduma, yaliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Zantel Amaan Zanzibar mafunzo hayo yametolewa na Taasisi za Kuzuiya rusha za Takukuru na Zeaca.kulia Mkurugenzi wa Zanztel Zanzibar Mohammed Mussa Baucha.  
Mkurugenzi wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa Baucha akizungumza wakati wa mafunzo hayo yaliowashirikisha wafanyakazi wa Zantel Zanzibar na Watowa huduma wa Zantel. mafunzo hayo ya Siku moja yamefanyika katika Ukumbi za Ofisi hiyo Amaan Zanzibar.
Maofisa wa Zantel Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo.katika ukumbi wa mikutano 

Mwanasheria kutoka Taasisi ya kuzuiya rusha Takukuru Vitalis Peter akitowa Mada kuhusiana na viashiria vya rushwa wakati wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Zantel ASmaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.