Habari za Punde

ZECO Yawataka Wananchi Kuvuta Subra Tatizo la Kukatika Kwa Umeme Linashughulikiwa

Kuzimika kwa umeme hakutokani na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) bali ni kunatokana na khitilafu zilizotokea huko Shirika la Umeme Tanzania TANESCO. Hayo ni kwa mujibu wa Msemaji wa ZECO Bw. Salum Abdallah. Vuteni subra kidogo matengenezo yanaendelea.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.