Mwenyekiti wa Kamati
ya Baraza la Wawakilishi ya Fedha, Biashara na Kilimo Mhe:Yussuf
Hassan Iddi, akizungumza na watenda wa PBZ Tawi la Pemba, mara baada ya kamati
hiyo kutembelea kituo cha huduma kwa wateja cha Benk hiyo Mkoani
Mjumbe wa Kamati ya
Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mwakilishi wa
Jimbo la Mtambile Mohamed Mgaza Jecha, akichangia katika kikao cha pamoja na
watendaji wa PBZ baada ya kamati yao kutembelea kituo cha huduma kwa wateja
Mkoani
Mkurugenzi Uwatawala
wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Ndg.Mohamed Omar Mohamed, akitoa maelezo kwa kamati ya Fedha, Biashara na
Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati wa kikao cha pamoja na wajumbe
wa kamati hiyo huko Mkoani
MENEJA wa PBZ Tawi la
Pemba, Mohamed Mussa Ali akitoa maelezo ya Taarifa ya Kituo cha huduma kwa
watecha cha Benk ya Pbz Mkaoani, mara baada ya wajumbe wa kamati ya Fedha,
Biashara na Kilimo ya Baraza la
Wawakilishi kutembelea kituo hicho
AFISA mdhamini Wizara
ya Fedha na Mipango Pemba,Ibarhim Saleh Juma akitoa maelezo kwa wajumbe wa
Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya baraza la wawakilizi Zanzibar, wakati
walipotembelea jingo linalojengwa na benk ya PBZ la Tawi la Wete
MWENYEKITI wa kamati
ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe:Yussuf
Hassan Iddi, akitoa maelezo ya kamati yake mara baada ya kutembelea jingo
linalojengwa na PBZ Tawi la Pemba, kwa ajili ya kutolea huduma kwa wananchi
Wate
WAJUMBE wa kamati ya
Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi, wakiangalia matengenezo
makubwa yanayofanywa na PBZ katika kituo cha kutolea huduma kwa wateja Mkoani,
wakati wajumbe hao walipotembelea kituo hicho
Wateja wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Kisiwani Pemba wakipata huduma za Kibenki katika Tawi la PBZ Mkoani Pemba.
PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment