Habari za Punde

Hatukutwaa kombe lakini tuliwapa Support Heroes

Umati wa Wananchi wa Mji wa Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Fainali ya Kombe la Chalenji kati ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Timu ya Taifa ya Kenya mchezo uliofanyika katika uwanja wa machakosi, wakiwa katika makutano ya barabara za michezani wakifuatilia mchezo huo kupitia lunga ilioko katika eneo hilo ikionesha mchezo huo wakifurika katika eneo hilo la Michezani Round About kwenye big Screen wakiangalia mechi ya Fainali
 Jaws Corner wakiangalia mchezo wa fainali
 Michezani Round About 


Umati uliofurika Michenzani Round About kwenye big Screen wakiangalia mechi ya Fainali

1 comment:

  1. Hongera Heroes, umati ufurike pia siku watayorudi kuwapokea mashujaa wetu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.