Umati wa Wananchi wa Mji wa Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Fainali ya Kombe la Chalenji kati ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Timu ya Taifa ya Kenya mchezo uliofanyika katika uwanja wa machakosi, wakiwa katika makutano ya barabara za michezani wakifuatilia mchezo huo kupitia lunga ilioko katika eneo hilo ikionesha mchezo huo wakifurika katika eneo hilo la Michezani Round About kwenye big Screen wakiangalia mechi ya Fainali
Jaws Corner wakiangalia mchezo wa fainali
Michezani Round About
Umati uliofurika Michenzani Round About kwenye big Screen wakiangalia mechi ya Fainali
Hongera Heroes, umati ufurike pia siku watayorudi kuwapokea mashujaa wetu
ReplyDelete