Habari za Punde

Maandamano ya ZAFA Kuadhimisha Kuzaliwa Kwa Mtume SAW.Zanzibar.

Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiungana na waumini wenzao Duniani kuadhimisha Sherehe za Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW huadhimishwa kila mwaka ifikapo mfungo Sita, Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiadhimisha siku hiyo kwa maandamano yakiongozwa na Ngamia yakielekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Mgeni rasmin ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SUZA  Dkt Issa Ziddy, amepokea maandamano hayo na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.