Habari za Punde

Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara Yaadhimishwa Uwanja wa Jamuhuri Dodoma leo.

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli akiingia katika Uwanja wa Jamuhuri kwa gari maalum ya JWTZ ilioandaliwa na kushindikizwa na Mapikipiki ya Jeshi la Polisi Usalama Barabara wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara yalioadhimishwa katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma leo. 9/12/2017.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dk John Pombe Magufuli akipokea heshima kutoka kwa Wanajeshi wa Vikosi vya ulinzi na usalama kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania    No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.