Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wanawake Tanzania Wafanyika Mkoni Dodoma na Kupatikana Mwenyekiti Mpya Kuiongoza Jumuiya Hiyo.

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwasili katika ukumbi wa mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wanawake Tanzania akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na Naibu Katibu Mkuu  UWT Zanzibar Salama Aboud Talib wakielekea ukumbi wa mkutano kwa ajili ya ufungaji.
Mkutano huo Mkuu umemchagua Mwenyekiti wa Taifa UWT Bi.Gaudentia .M. Kabaka na Makamu Mwenyekiti Bi Thuwaiba Edinton Kisasi. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.