Habari za Punde

Rais wa Comoro, Azali Assoumani atembelea hospitali ya Global.

Rais wa  Comoro,Mhe. Azali Assoumani akikabidhiwa kabrasha linaloelezea hospital ya Global alipofika katika majengo ya hospitali hiyo kujionea utendaji wake kazi katika kutowa huduma kwa Wananchi wa Zanzibar wanaofika kupata matibabu.
Rais wa Comoro Mhe.Azali Assoumani akiwa katika picha ya pamoja na Wamiliki wa Hospital ya Global Zanzibar alipofika katika hospitali hiyo kutembelea na kujionea utoaji wa huduma kwa Wananchi wa Zanzibar wanaofika katika hospitali hiyo kupata huduma, kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Vigor Tofiq Salim Turky na kulia Mhe. Salim Turky.
Rais wa Comoro.Mhe. Azali Assoumani akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Global alipoitembelea Hospitali hiyo jana
 Rais wa Comoro Mhe.Azali Assoumani akisalimiana wa wafanyakazi wa Global alipoitembelea Hospitali hiyo jana
Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani akiwa na mwenyeji wake Mbunge wa Mpendae, Salim Turky wakati alipotembelea Hospitali ya Global jana
Ziara ya Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani kwenye hospitali ya Global Vigor hapa Zanzibar jana.
Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya Global Vigor hapa Zanzibar alipoitembelea hospitali hiyo jana
Picha zote na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.