Habari za Punde

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Ndg. Kheri Denice James na Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo Ndg. Tabia Maulid Mwita wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi katika mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Viongozi wa UVCCM uliofanyika Mkoano Dodoma katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango.
 Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Tanzania watakaowakilisha UVCCM wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangaza washindi wa Uchaguzi Mkuu wa UVCCM.

1. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.

2. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti... 

Kura halali 565 
Thabia Mwita 286 (Mshindi)
Rashid Mohamed Rashid 282 

#MatokeoUchaguziUVCCM

3. Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara.. 

Sophia Kizigo 
Musa Mwakitinya 
Keisha 

#MatokeoUchaguziUVCCM

4. Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar.. 

Abdallaghari Idrisa Juma 
Maryam Mohamed Khamis 

#MatokeoUchaguziUVCCM

5. Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3.. 

Rose Manumba 
John Katarahiya 
Secky Katuga

#MatokeoUchaguziUVCCM

6. Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa 

Nasra haji 
Abdallah Rajabu

#MatokeoUchaguziUVCCM

7. Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi ni AMIR MKALIPA
 #MatokeoUchaguziUVCCM

8. Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT ni DOTO NYIRENDA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.