Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Micheweni akabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano ya Qur'aan


Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi wa Madrasa katika Kijiji cha Shumba ya Mjini Pemba,baada ya kutokea mshindi wa mwanzo katika mashindano ya Quraan .


PICHA NA ALI MASSOUD -MICHEWENI 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.