Habari za Punde

Wanafunzi skuli ya Utaani katika ziara ya kimasomo msitu wa Hifadhi ya Ngezi Wilaya ya Micheweni

 AFISA mtembeza wageni katika msitu wa Hifadhi Ngezi Wilaya ya Micheweni, Abdi Mzee Kitwana akiwapatia wanafunzi wa skuli ya Sekondari Utaani, histori fupi yam situ huo wakati wa ziara ya kimasomo kuangalia vivutio mbali mbali vya utalii Kisiwani Pemba, iliyoandaliwa na kamisheni ya Utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WANAFUNZI kutoka Skuli ya Sekondari Utaani Wilaya ya Wete, wakisikiliza kwa makini historia fupi ya Msitu wa Hifadhi Ngezi, wakati wa ziara ya kutembelea Vivutio mbali mbali vya utalii vilivyomo ndani ya Wilaya hiyo, ziara iliyoandaliwa na kamisheni ya Utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MPAPINDI ni Miongoni mwa miti adimu duniani kupatikana,mti huu unaopatikana katika msitu wa Hifadhi ya Ngaze tu, ulioko  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba, umekuwa ni kivutio kimoja kikuu cha watalii, katika ziara iliyoandaliwa na kamisheni ya Utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA mtembeza wageni katika msitu wa Hifadhi Ngezi Wilaya ya Micheweni, Abdi Mzee Kitwana akiwapatia wanafunzi wa skuli ya Secondari Utaani, histori fupi yam situ huo wakati wa ziara ya kimasomo kuangalia vivutio mbali mbali vya utalii Kisiwani Pemba, iliyoandaliwa na kamisheni ya Utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WANAFUNZI wa skuli ya Sekondari Utaani wakimsikiliza kwa makini kijana Mohamed, wakati alipokuwa akitoa histori ya kiwanda cha kupasulia mbao kilichokuwemo ndani yam situ wa ngezi kabla ya Mapinduzi ya mwaka 1964 na kiwanda hicho kufa kabisa, katika ziara iliyoandaliwa na kamisheni ya Utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.