Habari za Punde

Balozi Seif atembelea maonyesho ya biashara katika viwanja vya Maisara

 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akipata maelezo kutoka kwa Afisa uhusiano wa Taasisi ya Viwango Zanzibar Aisha Abdulkheir Mohammed wakati alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.

 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiangalia Bidhaa za Vipodozi na kupatiwa maelezo kuhusu matumizi yake na Bitatu Suleiman baada ya kutembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.

 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipatiwa bidhaa ya Sabuni zinazotengenezwa na Mjasiria mali wa Zaidat Product Bi Tatu Suleiman baada ya kutembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa amefuatana na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali baada ya  kutembelea sehemu mbalimbali katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIAMI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.