Habari za Punde

Zanzibar wapatiwa msaada wa Bilioni 34.9 kutoka Serikali ya China kusaidia Miradi

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto akitiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto wakibadilishana hati na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto wakipea na Mikono na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
 -Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kulia akizungumza machache baada ya kutiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed akisisitiza jambo alipozungumza machache baada ya kutiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed wapili kulia akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo alioko Zanzibar Xie Xiao Wu baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.