Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Azindua Passport Mpya za Tanzania za Kieletronikia leo Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume alipowasili katika Viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Tanzania kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania, kulia Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwiguli Lameck Nchemba, alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Tanzania kurasini Jijini Dar es Salaam, alipowasili kwa ajili ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguli akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala,alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Tanzania kurasini Jijini Dar es Salaam, alipowasili kwa ajili ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma kabrasha linaloelezea Uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Tanzania kulia Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, wakihudhuria hafla hiyo. iliofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka alama za vidole wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania kushoto Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka alama za vidole wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania kushoto Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, aliyekaa wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, wakipoata maelezo ya kitaalamu juu ya Pasipoti ya Tanzania wakati wa hafla hiyo.  
Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala akitowa maelezo ya moja ya Pasipoti Mpya za Tanzania kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea Idara hiyo wakati wa Uzinduzi wa Pasipoti hizo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakiangali Pasipoti hizo Mpya za Tanzania wakati wakitembelea Vyomba vya Maofisa wa Uhamiaji wakati wa Uzinduzi huo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakiangali Pasipoti hizo Mpya za Tanzania wakati wakitembelea Vyomba vya Maofisa wa Uhamiaji wakati wa Uzinduzi huo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Rais Mstaaf wa Tanzania Dk. Amani Abeid Karume na kushoto Mkamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaaf wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.

Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Wastaaf Tanzania wa kwanza Yussuf Masauni, Ali Mnyika,Kinemo Khomani na Victoria Lembeli waliwahi kuwa Maofisa wa Juu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa wakati tafauti wakishiriki katika hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Tanzania wakiwa wamesimama ukipigwa wimbo wa Taifa.   
Maofisa wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakipiga saluti wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa katika hafla hiyo ya Uzinduzi.

Wananchi walioshiriki hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Tanzania wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Pasipoti Mpya ta Tanzania ya Kieletrinikia uliofanyika katika viwanja wa Makao Makuu ya Uhamiaji kurasini Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya HID Robert Haslam akitowa maelezo ya wakati wa Uzinduzi huo wa Pasipoti Mpya za Tanzinai uliofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam, Kampuni hiyo imesimamia mradi huo. 
Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Balozi Paul Sherlock akitowa maelezo ya Mradi huo wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Idara ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.