Habari za Punde


Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, akitowa nasaha zake kwa Watendaji walioingia katika Ugatuzi wa madaraka, ili waweze kufanyakazi kwa mashirikiano na kuliletea maendeleo Taifa na wananchi kwa ujumla.
 Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, akiwa pamoja na Ofisa Elimu Wilaya  hiyo , Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani katika kikao cha pamoja ikiwa nitaasisi zilizoingioa katika Ugatuzi , kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Baadhi wa Walimu wakuu, Wasaidizi Walimu wakuu na Madiwani wa Wilaya ya Mkoani Pemba, wakiwa katika katika kikao cha pamoja baina yao na Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla, Rashid,katika kukumbushwa wajibu wao na kutakiwa wafanye kazi kwa mashirikiano .
Picha na Khadija Kombe - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.