Habari za Punde

Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani akutana na Walimu Wakuu, Wasaidizi wao na Madiwani

 Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, akiwa pamoja na Ofisa Elimu Wilaya  hiyo , Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani katika kikao cha pamoja ikiwa ni taasisi zilizoingia katika Ugatuzi , kabla ya kuanza kwa kikao hicho
Baadhi wa Walimu wakuu, Wasaidizi Walimu wakuu na Madiwani wa Wilaya ya Mkoani Pemba, wakiwa katika katika kikao cha pamoja baina yao na Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla, Rashid,katika kukumbushwa wajibu wao na kutakiwa wafanye kazi kwa mashirikiano .

Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, akitowa nasaha zake kwa Watendaji walioingia katika Ugatuzi wa madaraka, ili waweze kufanyakazi kwa mashirikiano na kuliletea maendeleo Taifa na wananchi kwa ujumla.

PICHA NA KHADIJA KOMBO PEMBA.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.