Baadhi ya Watoto wakitazama katuni katika Pazia la Kielektronik la Idara Habari (MAELEZO) katika Viwanja vya Mnara wa kumbukumbu Michenzani Mjini Unguja. Pazia hili la Kielektronik litakuwa likitoa taarifa mbalimbali za Serikali kwa Wananchi
Vijana kuchangamkia fursa za mikopo ya elimu ya juu
-
Mstahiki Meya wa jiji la Zanzibar, Mohamoud Muhamed Mussa amewataka
Vijana kuchangamkia fursa za mikopo ya elimu ya juu ili kuwapunguzia
mzigo wazazi ...
48 minutes ago
No comments:
Post a Comment