Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Matenki ya Kuhifadhia Mafuta na Gesi Asilia Mangapwani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika eneo la Mradi wa Ujenzi wa Matenki ya Kuhifadhia Mafuta na Gesi Asilia mradi huo unaofanyika katika eneo la Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ahmeid Abdurahaman Rashid, akitowa maelezo ya mipaka ya maeneo ya Mradi wa Ujenzi wa Matenki ya Kuhifadhia Mafuta nba Gesi Asilia lilioko katika eneo la Mngapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.