AFISA Mdhamini Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazangira Pemba, Juma
Bakari Alawi (JB) akizungumza na wananchi wa njau Wilaya ya Wete, juu ya
mikakati ya Serikali kupeleka Umeme wa Jua katika Visiwa Vidogo vidogo Pemba
WANANCHI mbali mbali wa kisiwa cha Kokota Wilaya ya Wete, wakifuatilia kwa makani maelezo juu ya utafiti
wa uwekaji nishati ya umeme wa Jua katika kisiwa hicho, kutoka Afisa Mdhamini
Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Juma Bakar Alawi(JB)
MENEJA Sera na Mipango kutoka shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), Maulid
Shirazi akiwaonyesha wataalamu kutoka kampuni ya
multiconsult ya nchini Norway, eneo ambalo linatarajiwa kuwekewa vifaa vya Nishati
mbadala ya Umeme wa Jua
MWANDISHI wa habari wa ZBC Raya Ahmada,
akizungumza na mjumbe wa Sheha wa Shehia ya Mtambwe Kusinii Wilaya Wete,
kuhusiana na ujio wa umeme wa jua katika kisiwa hicho.(Picha na Said Abdulrahaman. Pemba)
No comments:
Post a Comment