Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi , Supreme Council Member And Ruler of Ras Al Khaimah.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, "Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaimah", akisalimiana na Viongozi wa wa Juu wa Ras Al Khaimah alipowasili katika makazi ya Sheikh Saud kwa mazungumzo katika ziara yake kutembelea Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Asaq Al Qasimi, "Supreme Council and Ruler of Ras Al Khaimah "wakielekea katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili katika makaazi ya Sheikh Saud kwa mazungumzo, Nchini Ras Al Khaimah. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaimah, katika   makaazi yake Nchini Ras Al Khaimah wakati wa ziara yake ya wiki moja ya kiserikali kutembela Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)
VIONGOZI wa Juu wa Nchi ya Ras Al Khaimah wakihudhuria katika ukumbi wa mkutano kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Sheikh Saud Bin Saqr Ak Qasimi  alipofika katika makaazi ya Mfame kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake Nchini Ras Al Khaimah.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaimah, katika   makaazi yake Nchini Ras Al Khaimah wakati wa ziara yake ya wiki moja ya kiserikali kutembela Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)
UJUMBE wa Mawaziri walioongozana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika ziara yake kutembelea Nchi za Falme za Kiarabu UAE wakifuatilia hafla hiyo katika ukumbi wa mkutano na Mfalme Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaimah.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo baada ya mazungumzo yake na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, wakiwa katika makaazi ya Mfalme Ras Al Khaimah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo baada ya mazungumzo yake na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, wakiwa katika makaazi ya Mfalme Ras Al Khaimah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,wakizungumza na Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasimi baada ya mazungumzo yao kushoto Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya RAKGAS L.L.C,  Joseph Haskell na wa mwisho Balozi Mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Ali Jabir Mwadin
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiongozana na mwenyeji wake,Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Member and Ruler of Ras Al Khaiman akiwaaga Viongozi wa Juu wa Serikali ya Ras Al Khaimah baada ya mazungumzo yake na Sheikh Saud yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Nchini Ras Al Khaimah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaiman, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Sheikh Ras Al Khaimah.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaiman, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Sheikh Ras Al Khaimah

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.