Habari za Punde

Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando

 Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba Abeid Juma Ali akikagua banda la vijana wa kikundi cha Kujikomboa Group kiliopo shehia ya Gando Ziwengi Wilaya ya Wete lililoteketezwa kwa moto na watu wasiyojuilikana usiku wakuamkia leo januari 26.

 Mkuu wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akizungumza na vijana wa kikundi cha Kujikomboa Group cha shehia ya Gando Ziwengi alipofika kuwafariji.

Pichani ni eneo la shamba la matunda na alizeti linaloshughulikiwa na kikundi cha Kujikomboa Group cha Gando Ziwengi.
Picha na Makame Mshenga Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.