Habari za Punde

Kete za madawa ya kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Heroin zakamatwa Machomanne kisiwani Pemba

 KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Sheikhan Mohamed Sheikhan, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Kisiwani Pemba, juu ya kukamatwa kwa kete zaidi ya 5000 za madawa ya kulevya yanayosadikiwa aina ya Heroin.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 VIFURUSHI mbali mbali vilivyohifadhiwa kete 5115 za dawa za kulevya aina ya heroin, zikiwa zinashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Sheikhan Mohamed Sheikhan akiwaonyesha waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari Pemba, baadhi ya mafurushi yaliyohifadhiwa kete 5115, zinazodaiwa kuwa ni madawa ya Kulevya yaliyokamatwa nayo Kijana Othaman Abdalla Hamad katika maneo ya Machomanne.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

 BAADHI ya Vifurushi vinavyodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya vikiwa vimetawanywa katika meza, ili waandishi wa habari kuweza kujuwa na kuona mbinu mpya wanazozitumia waletaji madawa hayo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya waandishi wa Habari Kisiwani Pemba, wakipiga picha moja ya kete iliyofunguliwa na kuona kilichomo ndani, kwa lengo la kupata kujuwa kilichohifadhiwa ndani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.